Mkutano wa Maaskofu wa Kanisa la Anglikan wamalizika Dar es Salaam | Matukio ya Kisiasa | DW | 20.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mkutano wa Maaskofu wa Kanisa la Anglikan wamalizika Dar es Salaam

Maaskofu wakuu wa kanisa la Anglikan duniani wanamaliza mkutano wao huko Dar es Salam nchini Tanzania huku ikiarifiwa kuwa tamko la pamoja juu ya suala la ushoga ndani ya kanisa, linakuwa gumu.

Suala la ushoga na usagaji ndiyo iliyokuwa ajenda kuu katika mkutano mkuu wa kanisa hilo uliyoanza siku tano zilizopita. Hiyo inafuatia mvutano uliyosababishwa na kanisa la Anglikan la marekani kuwa na askofu shoga, Robinson.

Kutoka Dar es Salaam Mwandishi wetu Badra Masoud anaripoti zaidi.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com