Mkutano uliyofanyika Afrika Kusini kuhusu hali ya kisiasa visiwani Komoro | Matukio ya Kisiasa | DW | 11.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mkutano uliyofanyika Afrika Kusini kuhusu hali ya kisiasa visiwani Komoro

Huko visiwani Komoro pande mbili zinazopingana ambazo ni serikali ya umoja wa Komoro na utawala wa kisiwa cha Anjouan, wamekubaliana kutatua mgogoro unaovikumba visiwa hivyo katika mkutano wake uliyofanyika huko Afrika Kusini.

Katika mkutano huo masuala mbali mbali yalijadiliwa ikiwa ni pamoja na kufanyika kwa uchaguzi wa rais kisiwani Anjouan.

Abdulrahman Baramia anaripoti zaidi kutoka Komoro.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com