1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Benin

Jamhuri ya Benin ni taifa la Afrika ya Magharibi linalopakana na Togo, Nigeria, Niger na Burkina Faso.

Benin ni taifa lenye raia wapatao milioni 11, ni miongoni mwa makoloni ya Ufaransa na linatumia Kifaransa kama lugha yake kuu, mji wake mkuu unaitwa Porto-Novo.

Onesha makala zaidi