1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama ya Afrika ya Haki yazindua Mwaka wa Mahakama

Veronica Natalis20 Februari 2023

Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yenye makao yake makuu mjini Arusha kaskazini mwa Tanzania, leo imezindua Mwaka wa Mahakama, huku matumaini ya Tanzania kukubali raia wake na mashirika binafsi kufungua kesi katika mahakama hiyo yakiwa bado ni kitendawili. Sikiliza ripoti ya Veronica Natalis kutoka Arusha.

https://p.dw.com/p/4NlDN