1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Sudan Kusini

Sudan Kusini ndiyo nchi changa kabisaa duniani. Ilipata uhuru wake kutoka Sudan mnamo mwaka 2011. Ni nchi yenye utajiri wa mafuta baada ya kuondoka na karibu theluthi mbili ya mafuta ya Sudan.

Mwaka 2013 viliibuka vita vya wenyewe kwa wenye vikivipambaisha vikosi tiifu kwa rais Salva Kiir, na vile vinavyomtii makamu wa zamani wa rais Riek Machar. Inapakana na Sudan, Kenya, Ethiopia, Uganda na DRC. Maudhui za DW kuhusu Sudan Kusini utazipata katika ukurasa huu.

Onesha makala zaidi