Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Anga ya dunia inatoa mchango muhimu katika hali ya hewa ya siku husika. Iwapo tunakuwa na joto au baridi, unyevunyevu au ukavu, utulivu au dhoruba, mawingu mazito au mepesi. Hali ya hewa ni kila mahali - na ni muhimu kila mahali. Huu hapa ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu hali ya hewa.