You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ulinzi wa misitu wapata msukumo mpya Kenya
Mikakati ya kujua wapi miti ilikokatwa hasa kwa wafanyabiashara wa magogo na bidhaa za mbao itaishirikisha Tanzania.
Mvua yauwa watu 30 nchini Angola
Namibia maji ya mto Zambezi yameongezeka ghafla na kuwalazimu maelfu ya watu wanaoishi kwenye maeneo hayo kukimbia.
Watu 17 wafariki Afghanistan kufuatia mafuriko
Watu wengine 26 wamejeruhiwa kwenye maafa hayo yaliyotokea saa 24 zilizopita kufuatia mafuriko na maporomoko ya ardhi.
Watu 20 wafariki Tanzania kufuatia maporomoko ya ardhi
Mamlaka ya hali ya hewa nchini Tanzania imetabiri mvua kubwa katika sehemu nyingi za nchi hiyo hadi Jumanne ijayo.
Salah kuondoka Liverpool mwishoni mwa msimu
Mohamed Salah ni mmoja wa wafungaji bora zaidi wa klabu hiyo na wachezaji wenye majina makubwa katika soka.
Watu 81 wapoteza maisha kufuatia mafuriko Kenya
Vijiji kadhaa vimezikwa na maji ya mafuriko kaunti ya Kisumu na mashamba yakiharibiwa vibaya
Joto jingi lazidi kuongezeka duniani: UN
Ripoti ya WMO, imeeleza kuwa joto liliongezeka duniani na kufikia viwango vya juu zaidi mwaka 2025.
Mvua kubwa nchini Kenya yauwa watu 81 mwezi Machi: Maafisa
Mafuriko ya ghafla yalifunika vijiji katika kaunti ya Kisumu, na kuharibu takriban ekari 3,000 za mashamba.
Watu 66 wapoteza maisha kutokana na mafuriko Kenya
Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini Kenya imeongezeka.
Vita vya Iran vyatishia kuacha urithi wa sumu kwa mazingira
Viwanda vya mafuta vinavyoungua, meli zinazozama, vinatishia madhara ya muda mrefu kwa afya, maji na chakula.
Maporomoko ya ardhi yauwa takriban watu 64 Ethiopia
Idadi ya nyumba zilizoathirika kwenye mafuriko bado haijabainika.
Mafuriko Kusini mwa Ethiopia, 30 waangamia
Mafuriko hayo yalitokea hasa katika maeneo ya Degama
Watu 100 wafariki kwenye maporomoko, DRC
Kongo pia inakabiliwa na migogoro inayochochewa na rasilimali nyingi za madini kama vile koltani, dhahabu na bati.
Idadi ya vifo kutokana na mvua nchini Kenya yafikia 42
Utafiti wa World Weather Attribution wa 2024 uligundua kuwa mabadiliko ya hali ya hewa yanasababisha mvua kubwa.
Waliokufa kwa mafuriko nchini Kenya wafikia 23
Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mafuriko usiku wa kuamkia Jumamosi jijini Nairobi imefikia watu 23.
Mafuriko yawauwa watu 8 Kenya, safari za ndege zavurugika
Watu wanane wamefariki dunia katika mji mkuu wa Kenya Nairobi, kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa.
Uchimbaji Shaba wazidisha uchafuzi wa mazingira Zambia
Hali hiyo imechangiwa na hitaji kubwa la soko la kimataifa la Shaba inayotumika katika magari ya umeme na nishati safi.
Joto kuelekea mechi ya Yanga na Simba lazidi kutokota
Katika msimamo wa Ligi Kuu, JKT Tanzania wanaendelea kuongoza kwa alama 28.
"Ulaya haijajiandaa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi"
WMO: imetahadharisha kuwa mabadiliko ya tabianchi yameifanya Ulaya kuwa bara lenye joto kali zaidi duniani.
UN yataka Urusi kutoshambulia miundombinu ya nishati Ukraine
Urusi imekuwa ikifanya mashambulizi dhidi ya Ukraine ikiwa ni pamoja na kuiharibu miundombinu ya nishati nchini humo.
Msimu wa Kanivali kuongeza kipato cha taifa Ujerumani
Sekta mbali mbali ikiwemo, hoteli, vilabu vya pombe hadi wauzaji wa mavazi zinatarajiwa kunufaika.
Urusi yashambulia gridi ya umeme nchini Ukraine
Maafisa nchini Ukraine wameishutumu Moscow kwa kulenga miundombinu ya nishati kimakusudi.
Olimpiki ya majira ya baridi 2026 yaanza huko Italia
Programu ya michezo hiyo inayofanyika miji miwili ya Milan-Cortina nchini Italia tayari imeanza siku ya Jumatano.
Mashambulizi ya Urusi yakata usambazaji wa joto Kyiv
Vita vya Urusi na Ukraine vinakaribia kufikia mwaka wa nne, tangu Urusi ilipoivamia kikamilifu, Februari 2022.
Urusi yaishambulia tena miji ya Ukraine usiku wa leo
Hayo yanajiri mnamo wakati mazungumzo ya pande tatu kati ya Moscow, Washington na Kiev yakitarajiwa wiki hii huko UAE.
Kenya: Ukame waathiri mifugo, afya za watoto zatetereka
Wazazi wana hofu juu ya maisha ya watoto wao huku ukame ukiangamiza mifugo maeneo ya Kaskazini-Mashariki mwa Kenya.
Vifo vya maporomoko ya ardhi vyaongezeka hadi 49 Indonesia
Idadi ya vifo kutokana na maporomoko ya ardhi yaongezeka hadi 49 Indonesia
Trump: Putin akubali kusitisha vita kwa wiki moja Ukraine
Vita vya Urusi na Ukraine vinakaribia kutimiza miaka miwili huku juhudi za kusaka amani zikiendelea.
Watu bilioni 3.8 kukumbana na joto kali ifikapo 2050
Mahitaji ya vifaa vya kupozea hewa yataongezeka kwa kiwango kikubwa katika nchi kama Brazil, Indonesia na Nigeria.
Trump ajaribu ´kutuliza joto´ Minneapolis
Rais Donald Trump amemtuma mwakilishi kusimamia oparesheni dhidi ya wahamiaji wasio na vibali kwenye mji wa Minneapolis.
Dhoruba kali ya theluji Marekani yasababisha vifo kadhaa
Kulikuwa pia na vifo vilivyosababishwa na ajali mbaya za barabarani kutokana na hali ya theluji.
Frankfurt yamtimua Toppmöller baada ya msimu wa kusuasua
Frankfurt imesema uamuzi huo umetokana na "uchambuzi mpana wa kiufundi na kimuundo."
Urusi yachukuwa udhibiti wa maeneo mawili ya makazi Ukraine
Mashambulizi ya Urusi dhidi ya mifumo ya nishati ya Ukraine yawaacha wakazi kwenye kibaridi kikali.
Watu 19 wafariki Afrika Kusini kutokana na mafuriko
Mvua zaidi zinatarajiwa kuendelea kunyesha ndani ya saa 48 zijazo katika eneo la kaskazini mwa nchi hiyo.
Regragui atarajia ushindi nusu fainali ya AFCON
Michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON inafanyika nchini Morocco, mabingwa mara saba wa AFCON.
Gharama za kupasha joto Ujerumani kuongezeka
Kupasha joto majumbani ni hitaji la msingi msimu wa baridi, lakini pia ni chanzo cha matumizi ya nishati na gharama.
Theluji kila kona Ulaya
Mataifa mengi ya Ulaya yamegueka meupeee, kwa sababu ya theluji. Vipi, unaweza ´kutoboa´ msimu wa baridi barani Ulaya?
Bahari za dunia zilinyonya joto jingi 2025
Wanasayansi wanaonya ikiwa Dunia itaendelea kuongeza joto, kiwango cha joto baharini pia kitaendelea kuongezeka.
Joto la kisiasa lapanda Uganda kuelekea Uchaguzi
Wagombea wakuu wa urais wanafanya kila juhudi kuwashawishi vijana kwa kutoa ahadi za fursa kwa muskakabali wao.
Saudi Arabia vs UAE: Mzozo unaonukia Mashariki ya Kati
Kwa miaka mingi, Saudia na Umoja wa Falme za Kiarabu zimekuwa zikishindana kimyakimya katika ushawishi wa kikanda.
Kenya: Ajali zaongezeka msimu wa sherehe za mwisho wa mwaka
Mamlaka ya Uchukuzi na Usalama Barabarani imewaonya madereva wanaovunja sheria itawachukulia hatua kali za kisheria.
Kremlin yakataa kusitisha vita Ukraine msimu wa Krismasi
Urusi yasema haitaki kuipa Ukraine muda wa kupumua kabla ya kujipanga upya kwa vita.
Morocco: Idadi ya vifo kufuatia mafuriko yaongezeka
Idara za uokoaji zinaendelea kuwasaka manusura, huku mvua zaidi zikitarajiwa Jumanne.
Takriban watu 37 wafariki kutokana na mafuriko Morocco
Shule Morocco zatangazwa kufungwa wa siku tatu kutokana na mafuriko.
'Dunia iko hatarini' miaka 10 baada ya Mkataba wa Paris
Mkataba huo ulioidhinishwa Disemba 12, 2015 na karibu mataifa 200 unayataka mataifa kupunguza ongezeko la joto duniani.
UN: Juhudi jumla zitasaidia vita ya mabadiliko ya tabianchi
Karibu wanasayansi 300 kutoka nchi 83 walichangia katika ripoti ya mwaka huu, 2025.
Japan yakabiliwa na kitisho cha Tsunami
Mabadiliko ya hali ya hewa yamechochea hali ya tetemeko kwenye maeneo kadhaa kote ulimwenguni.
Wataalamu wa UN wanashughulikia ripoti ya mazingira
Wataalamu wanashughulikia ripoti ya hali ya hewa ya Umoja wa Mataifa huku Marekani ikipinga
Gloria Orimba na juhudi za kukuza ajira kwa vijana
Sekta ya udhibiti wa taka inahusisha uchafu wenye harufu, na pia ni hatari kwani kuna taka zimejaa vitu vilivyooza.
Asia ya Kusini yakumbwa na mafuriko na maporomoko ya ardhi
Indonesia imeripoti vifo 435, Thailand 170, na Malaysia vifo vitatu, baada ya dhoruba nadra katika Bahari ya Malacca.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 30
Ukurasa unaofuatia