You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Theluji kila kona Ulaya
Mataifa mengi ya Ulaya yamegueka meupeee, kwa sababu ya theluji. Vipi, unaweza ´kutoboa´ msimu wa baridi barani Ulaya?
Bahari za dunia zilinyonya joto jingi 2025
Wanasayansi wanaonya ikiwa Dunia itaendelea kuongeza joto, kiwango cha joto baharini pia kitaendelea kuongezeka.
Joto la kisiasa lapanda Uganda kuelekea Uchaguzi
Wagombea wakuu wa urais wanafanya kila juhudi kuwashawishi vijana kwa kutoa ahadi za fursa kwa muskakabali wao.
Saudi Arabia vs UAE: Mzozo unaonukia Mashariki ya Kati
Kwa miaka mingi, Saudia na Umoja wa Falme za Kiarabu zimekuwa zikishindana kimyakimya katika ushawishi wa kikanda.
Kenya: Ajali zaongezeka msimu wa sherehe za mwisho wa mwaka
Mamlaka ya Uchukuzi na Usalama Barabarani imewaonya madereva wanaovunja sheria itawachukulia hatua kali za kisheria.
Kremlin yakataa kusitisha vita Ukraine msimu wa Krismasi
Urusi yasema haitaki kuipa Ukraine muda wa kupumua kabla ya kujipanga upya kwa vita.
Morocco: Idadi ya vifo kufuatia mafuriko yaongezeka
Idara za uokoaji zinaendelea kuwasaka manusura, huku mvua zaidi zikitarajiwa Jumanne.
Takriban watu 37 wafariki kutokana na mafuriko Morocco
Shule Morocco zatangazwa kufungwa wa siku tatu kutokana na mafuriko.
'Dunia iko hatarini' miaka 10 baada ya Mkataba wa Paris
Mkataba huo ulioidhinishwa Disemba 12, 2015 na karibu mataifa 200 unayataka mataifa kupunguza ongezeko la joto duniani.
UN: Juhudi jumla zitasaidia vita ya mabadiliko ya tabianchi
Karibu wanasayansi 300 kutoka nchi 83 walichangia katika ripoti ya mwaka huu, 2025.
Japan yakabiliwa na kitisho cha Tsunami
Mabadiliko ya hali ya hewa yamechochea hali ya tetemeko kwenye maeneo kadhaa kote ulimwenguni.
Wataalamu wa UN wanashughulikia ripoti ya mazingira
Wataalamu wanashughulikia ripoti ya hali ya hewa ya Umoja wa Mataifa huku Marekani ikipinga
Gloria Orimba na juhudi za kukuza ajira kwa vijana
Sekta ya udhibiti wa taka inahusisha uchafu wenye harufu, na pia ni hatari kwani kuna taka zimejaa vitu vilivyooza.
Asia ya Kusini yakumbwa na mafuriko na maporomoko ya ardhi
Indonesia imeripoti vifo 435, Thailand 170, na Malaysia vifo vitatu, baada ya dhoruba nadra katika Bahari ya Malacca.
Idadi ya vifo kutokana na kimbunga Sri Lanka yakifikia 159
Mamlaka za Sri Lanka zinapambana na mafuriko yanayoongezeka katika maeneo ya mji mkuu Colombo huku vifo vikifikia 159.
Thailand, Indonesia yaanza kusafisha baada ya mafuriko
Shughuli za usafi, utafutaji na uokoaji zinaendelea nchini Indonesia, Thailand na Malaysia baada ya mvua kubwa.
Mafuriko Indonesia vifo vyaongezeka
Maafa hayo yametokea katika jimbo la Sumatra lililopo kaskazini mwa Indonesia kutokana na mvua kubwa.
Watu 34 wafariki dunia kwa mafuriko Thailand
Makumi kwa maelfu ya watu nchini Thailand na jirani yake Malaysia wameachwa bila makao kutokana na mafuriko makubwa.
Wajumbe Cop30 wavutana kuhusu nishati ya visukuku
Mazungumzo kuhusu mabadiliko ya tabianchi katika mkutano wa tabianchi huko Belem Brazil, yameshindwa kupata makubaliano.
Rasimu ya makubaliano ya COP30 yazima juhudi za nishati mpya
Pendekezo la kuunda mpango wa kimataifa wa kuachana na nishati ya visukuku ulijumuishwa katika toleo la awali.
Ulaya yashinikiza kuachana na nishati inayochafua mazingira
Umoja wa Ulaya umeshinikiza kufikiwa kwa mpango wa kimataifa wa kuachana na matumizi ya makaa ya mawe, mafuta na gesi.
Rasimu ya kwanza ya makubaliano ya Cop30 inawasilishwa
Lula kurejea COP30 wakati rasimu ya kwanza ya makubaliano ya Cop30 inawasilishwa
Baerbock: Mazungumzo magumu kuhusu mazingira yanahitajika
Wajumbe wa COP30, kutoka mataifa takriban 200, bado wanajadili namna ya punguza joto duniani.
Mandamano makubwa yafanyika katika mkutano wa COP30, Brazil
Nchi 200 bado zinajadili hadi mwisho wa wiki hii namna ya punguza ongezeko la joto duniani kwa haraka zaidi.
Wanaharakati wa kiasili wavamia mkutano wa COP30 Brazil
Vyombo vya habari Brazil vinaripoti kuwa wanaharakati wa kiasili wamelivamia eneo kunakofanyika Mkutano Mkuu COP30.
Mkutano wa COP30 wang'oa nanga Brazil bila Marekani
Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva amesema mabadiliko ya tabia nchi sio tena kitisho cha siku zijazo bali sasa.
EU yasimamisha Visa za zaidi ya mara kwa raia wa Urusi
Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya yachukuwa hatua za kiusalama dhidi ya Urusi.
Kimbunga Kalmaegi chaipiga Vietnam baada ya Ufilipino
Zaidi ya watu nusu milioni wamehamishwa Vietnam kama hatua ya tahadhari dhidi ya kimbunga.
Mkutano wa awali kabla ya COP30 wafanyika Brazil
Wakuu wa mataifa mbalimbali duniani wanakutana Alhamisi huko Belem, Brazil kuzungumzia mabadiliko ya hali ya hewa.
EU bado haijafikia makubaliano ya malengo ya hali ya hewa
Mawaziri wa EU watarajiwa kukutana Jumatano kutafuta mwafaka kuhusu malengo ya hali ya hewa.
Reiche ajificha kwenye handaki nchini Ukraine
Reiche aliwasili Ukraine jana Ijumaa na ujumbe wa kiuchumi kwa ziara ya siku kadhaa.
Ujerumani yaahidi kuisaidia Ukraine katika msimu wa baridi
Ukraine inaendelea kukabiliana na mashambulizi ya Urusi kwenye mfumo wake wa nishati.
EU yaweka mikakati ya kusitisha utoaji wa gesi chafu
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameanzisha hatua ya mwisho kuelekea kufikia makubaliano ya lengo la miaka kumi.
Ulaya yaweka mikakati ya kusitisha utoaji gesi chafu
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameanzisha hatua ya mwisho kuelekea kufikia makubaliano ya lengo la miaka kumi la kupunguza
EU kujadili malengo ya utoaji wa gesi chafu
Viongozi wa EU wakutana kwa mazungumzo ya kuweka lengo jipya la kupunguza utoaji wa gesi chafu.
Mazingira ya kisiasa na kiuchumi Tanzania kabla ya uchaguzi
Tanzania inajiandaa kufanya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025 katikati ya sintofahamu ya kisiasa.
Ripoti: Mapambano dhidi ya Malaria yashindwa kupiga hatua
Ukosefu wa fedha za kutosha kwa ajili ya mipango ya kuzuia kuenea kwa malaria, unahatarisha juhudi dhidi ya ugonjwa huo.
Maelfu wakimbia pwani ya Ufilipino kutokana na dhoruba
Maafisa wa maafa wamesema wakaazi wapatao 27,000 wa jimbo la Albay na kisiwa cha karibu walihamia maeneo salama.
UN: Watu mil 900 katika hatari ya athari za mazingira
Watu bilioni 1.1, sawa na 18% ya watu bilioni 6.3 katika nchi 109 zilizofanyiwa utafiti wanaishi katika umaskini.
Mioto na kilimo ni vyanzo vya uharibifu wa misitu duniani
Hii ina maana hali inazidi kuwa mbaya. Huku mkutano wa mazingira wa COP 30 ukikaribia mwezi ujao wa Novemba huko Brazil.
Matumbawe ya dunia yakaribia kutoweka kwa sababu ya joto
Ripoti mpya ya kimataifa yaonya matumbawe duniani yako katika hatari kubwa ya kutoweka kutokana na ongezeko la joto
Mexico: Mafuriko makubwa na maporomoko yasababisha vifo
Wataalamu wa hali ya anga wameonya kuwa mvua zaidi zinatarajiwa kunyesha.
Duru ya kwanza ya mazungumzo ya Hamas yamalizika vyema
Duru ya kwanza ya mazungumzo kati ya Hamas na wapatanishi yaisha katika 'mazingira chanya'
Sudan yaonya kuhusu hatari ya mafuriko karibu na mto Nile
Tahadhari ya mafuriko bado inaendelea Sudan.
Kimbunga Ragasa chaitikisa Ufilipino
Kimbunga Ragasa kilichoikumba Ufilipino kimesababisha mvua kubwa na upepo mkali katika baadhi ya maeneo ya Pwani.
Watu wengi wanaishi katika maeneo yaliyodhoofika, ripoti
Ripoti mpya ya Benki ya Dunia imebainisha kuwa 90% ya watu duniani wanaishi maeneo yayodhoofika ya maji na hewa chafu.
Colombia nchi hatari zaidi kwa wanaharakati wa mazingira
Karibu wanaharakati 142 wa mazingira waliuwawa mwaka 2024 kote duniani na wengine 4 zaidi hawajulikani walipo.
Ripoti: Wanaharakati wa mazingira 142 waliuawa 2024
Wanaharakati wa mazingira wasiopungua 142 waliauwa kote duniani mwaka uliopita na wengine wanne hawajulikani waliko.
Rubio aelekea Qatar ´kutuliza joto´ msuguano na Israel
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani Marco Rubio anaelekea nchini Qatar akitokea Israel leo Jumanne.
WMO: Tabaka la Ozoni linarejea kwenye hali ya asili
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa inaonesha tabaka la ozoni linarejea polepole katika hali yake ya asili.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 31
Ukurasa unaofuatia