SiasaAsia
Vifo vya maporomoko ya ardhi vyaongezeka hadi 49 Indonesia
31 Januari 2026
Matangazo
Shirika kuu la uokoaji la nchi hiyo, Basarnas, limesema leo Jumamosi, huku watu 15 bado hawajulikani walipo.Kikosi cha wanamaji cha taifa hilo kadhalika kilisema wanajeshi wake 23 walikufa, wakati wakifanya mafunzo ya ulinzi wa mpaka.Maporomoko ya ardhi ya Januari 24 yaliyolikumba kijiji cha Pasir Langu katika eneo la Bandung Barat yalisababishwa na mvua kubwa.