1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Asili ya Afrika

Asili ya Afrika ni mfululizo wa vipindi vya redio, makala na video fupi kuhusu historia ya Waafrika ikisimuliwa na wasomi wa Kiafrika wenyewe. Ni mradi wa DW unaoangazia watu makhsusi waliounda historia ya Afrika.

Ni muhimu kwa watu kuwa na usemi katika ulimwengu na ufahamu wa utambulisho wao. Historia imekuwa muhimu na inaendedelea kuwa muhimu kwa utambulisho wa watu. Lakini barani Afrika, historia haihifadhiwi na Waafrika. Historia ya Afrika iliyoandikwa na wakoloni au wasomi wa magharibi, haitoi tu maelezo tata, bali ina mipaka. Katika kutaka kuondoa kasoro hiyo, DW ilizindua mrandi mpya uitwao "Asili ya Afrika" unaolenga kuichukua tena historia ya Waafrika kutoka kwa wataalamu na wanahabari wa Kiafrika. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui zote za DW kuhusu Asili ya Afrika.

Onesha makala zaidi