Mgomo wa usafiri wa Matatu nchini Kenya
5 Januari 2010Matangazo
Mgomo huo ulioingia siku yake ya pili hivi leo umesababisha hasara kubwa, kiuchumi, kutokana na kutofika kazini kwa siku mbili mfululizo maelfu ya wafanyakazi waliokuwa wakirejea kazini baada ya sherehe za krisimasi na mwaka mpya.
Mwandishi wetu wa Nairobi Alfred Kiti ametuandalia taarifa ifuatayo.
Mpitiaji: Grace Patricia Kabogo
Mhariri. Miraji Othman