Mawaziri wa mambo ya kigeni wa Umoja wa Afrika wakutana Kampala | Matukio ya Kisiasa | DW | 23.07.2010
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Mawaziri wa mambo ya kigeni wa Umoja wa Afrika wakutana Kampala

Nchi za Afrika zapania kupeleka wanajeshi nchini Somalia

Nchini Uganda,kikao cha mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa Umoja wa Afrika kimeendelea leo katika mji mkuu wa Kampala, kabla ya Viongozi wakuu wa nchi hizo kuanza kukutana hapo kesho. Mapema alasiri ya leo Rais wa halmashauri kuu ya Umoja wa Afrika Jean Ping alikua na mkutano na waandishi habari ambapo miongoni mwa mengine akatangaza kwamba Guinea na Djibouti ziko tayari kutuma wanajeshi nchini Somalia. Mwandishi wetu mjini Kampala Leylah Ndinda alikuwako mkutanoni na hii hapa ripoti kamili.

Mtayarishaji; Leylah Ndinda

Mpitiaji:Thelma Mwadzaya.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 23.07.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/OTQt
 • Tarehe 23.07.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/OTQt
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com