1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kanda ya Euro

Ujerumani ndiyo nchi yenye wakaazi wengi zaidi katika kanda ya sarafu ya Euro, Ufaransa ndiyo kubwa zaidi kieneo. Muungano wa sarafu ya Euro kwa sasa una nchi wanachama 19. Sera ya Berlin kuhusu Euro ina madhara makubwa.

Wanachama wa sasa wa Kanda ya Euro ni: Austria, Ubelgji, Cyprus, Estonia, Finland, Ufaransa, Ujerumani, Ugiriki, Ireland, Italia, Latvia, Lithuania, Luxembourg, Malta, Uholanzi, Ureno, Slovakia, Slovenia na Uhispania. Kanda hiyo inakadiriwa kuwa jumla ya wakaazi milioni 300. Ukurasa huu unakusana maudhui kuhusu kanda ya sarafu ya Euro.