1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 17.06.2017

Yusra Buwayhid
17 Juni 2017

Viongozi wa dunia waomboleza kifo cha Kansela wa zamani wa Ujerumani Helmut Kohl. Hasira yatokota jijini London huku idadi ya vifo yafikia 30 baada ya jengo kuwaka moto. Cuba yapinga hatua ya Rais Donald Trump kuimarisha vikwazo vya biashara na usafiri dhidi ya nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/2erQr