1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Hezbollah

Hezbollah, ambacho tafisri yake ni "chama cha Allah" ni chama cha siasa kinachofuata nadharia za Kishia chenye makao yanke nchini Lebanon. Kiliibuka baada ya Israel kuivamia Lebanon mwaka 1982, na kinafungamana na Iran.

Hezbollah imeshutumiwa kwa kufanya mashambulizi na njama dhidi ya maeneo ya Israel. Linachukuliwa kuwa kundi la kigaidi na mataifa ya Magharibi, Israel, mataifa ya Kiarabu ya kanda ya Ghuba na Jumuiya ya Mtaifa ya Kiarabu (Arab League). Hata hivyo kundi hilo limetoa mchango mkubwa katika siasa za Lebanon tangu mwanzoni mwa miaka ya 1990na limeshiriki katika uchaguzi wa kitaifa. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Hezbollah.

Onesha makala zaidi