1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Lebanon

Lebanon ni nchi ya Mashariki ya Kati yenye historia ndefu na pana inayopakana na bahari ya Mediterrania, Syria na Israel. Mji wake mkuu na mkubwa zaidi ni Beirut.

Lebanon inakutikana katika njiapanda ya bonde la bahari ya Mediterrania na bara la Arabuni, nafasi ilioifanya kuwa nchi yenye umuhimu mkubwa kihistoria. Vita vyake vya wenyewe kwa wenyewe katika ya 1975 hadi 1990 viliharibu pakubwa mafanikio yake ya nyuma. Tangu wakati huo kumekuwa na juhudi kubwa kujenga upya miundombinu. Ukurasa huu unakusanya maudhui za DW kuhusu Lebanon.

Onesha makala zaidi