Matangazo ya jioni ya DW Kiswahili:15.01.2022 | Media Center | DW | 15.01.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya jioni ya DW Kiswahili:15.01.2022

Ethiopia yalitaka shirika la afya ulimwenguni WHO kumchunguza katibu wake mkuu Tedros Adhanom Ghebreyesus, waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock atarajiwa kusafiri kuelekea Ukraine na Urusi wiki ijayo na waasi wa Kihouthi wakataa ombi la Umoja wa Mataifa la kuachilia huru meli iliyokuwa na bendera ya Emirati

Sikiliza sauti 59:59