Mabishano wa Uandikishaji wa wapiga kura visiwani Zanzibar
21 Julai 2009Matangazo
Katibu mkuu wa Chama cha CUF, Seif Sharif Hamad, katika
mahojiano na mwandishi wetu, amesema vikwazo
wanavowekewa baadhi ya watu kupatiwa vitambulisho vya
ukaazi ili waweze kujiandikisha kuwa wapiga vinaweza
kusababisha vurugu baadaye. Seif Sharif Hamad alimwambia
hivi mwandishi wetu Salma Said.