Mabalozi wa Umoja wa Ulaya walaani machafuko huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
28 Machi 2007Matangazo
Umoja wa Ulaya umesema hautaingia mkono serikali ya nchi hiyo ikiwa upinzani hautapewa nafasi ya kutoa maoni yake. Wakati huo huo Afrika ya Kusini inasema itampa hifadhi Jean Pierre Bemba kwa muda wote anaotaka.
Ripoti kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa.