1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Nishati ya Upepo

Kama sehemu ya tabianchi na hali ya hewa, upepo huvuma kila wakati mahala fulani. Unaweza kutumiwa kwa ajili ya nishati.

Nguvu ya upepo inaweza kubadilishwa kuwa umeme, na kutoa chanzo cha kutegemewa cha nishati jadidifu - wakati jua linapokuwa haliwaki. Lakini uendelezaji wa nishati ya upepo unakabiliwa na changamoto nyingi, moja wapo ikiwa ukubwa wa miundombinu inayohitajika.

Onesha makala zaidi