1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Vita Baridi

Vita Baridi ulikuwa mzozo wa kisiasa uliofuatia vita kuu vya pili vya dunia. Ulizihusisha kanda ya mashariki (Jamhuri ya Kisovieti na washirika wake) dhidi ya kanda ya Magharibi (Marekani na washirika wake wa NATO).

Vita baridi viliuvunja muungano wa muda wa vita dhidi ya Manazi wa Ujerumani, hatua ilioakisiwa katika kugawanywa kwa Ujerumani katika sehemu mbili za Mashariki na Magharibi. Neno "baridi" linatumika kwa kuwa hakukuwa na mapigano ya kiwango kikubwa ya moja kwa moja kati ya pande mbili, ingawa kulikuwepo na "vita vya uwakala" katika mataifa mengine. Wanahistoria wanakitaja kipindi cha vita baridi kuwa ni kuanzia mwaka 1947 hadi 1991, mwaka ambao Jamhuri ya Kisovieti ilipovunjika. Hapa unaweza kupata maudhui zote za DW kuhusu Vita Baridi.

Onesha makala zaidi