1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Jamhuri ya Czech

Jamhuri ya Czech ni taifa la Ulaya ya Kati linalopakana na Ujerumani, Poland, Austria na Slovakia. Lina wakaazi zaidi ya milioni 10 na mji wake mkuu ni Prague.

Jamhuri ya Czech kwa nyakati tofauti katika historia yake ilikuwa chini ya himaya ya Roma, Ufalme wa Roma na himaya ya Austria. Iliunda sehemu ya Czechoslovakia kufuatia Vika Kuu ya kwanza ya Dunia, hadi mapinduzi ya Czechoslovakia yaliohitimisha utawala wa kikomunisti kati ya Novemba 17 na Desemba 29, 1989.

Onesha makala zaidi