Lijue kundi linalojiita ″Dola la Kiislam″ (IS) | Mada zote | DW | 21.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Lijue kundi linalojiita "Dola la Kiislam" (IS)

Kundi la IS lilianza kama kundi dogo baada ya kujitenga na al-Qaeda, na baadae kuwa kundi kubwa la kimataifa. DW inachunguza vipengele muhimu vya kundi hilo-kutoka utawala wa Kiislam hadi mbinu zake inazozitumia.