1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Aleppo

Aleppo ni mmoja ya miji ya kale zaidi duniani inayoendelea kukaliwa na ulikuwa mji mkubwa zaidi nchini Syria kabla ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Lakini mji huo umeharibiwa vibaya wakati wa vita.

Mji wa Aleppo umekuja kuhusishwa zaidi za ukatili wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria. Ndiyo uliyoathirika zaidi katika mgogoro huo, ukiharibiwa karibu wote na wakaazi wake wengi waliupa kisogo. Baada ya mkwamo wa miaka minne, serikali ya Syria iliurejesha mikononi mwake Desemba 2016. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za karibuni za DW kuhusu Aleppo.

Onesha makala zaidi