Kuundwa kwa serikali ya umoja wa Kitaifa visiwani Zanzibar
25 Januari 2010
Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Zanzibar imeridhia hoja binafsi inayotaka kuwasilishwa katika kikao cha baraza la wawakilishi juu ya kuundwa kwa serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar.
https://p.dw.com/p/LgCG
Matangazo
Mwandishi wetu huko Zanzibar, Salma Said, anafuatilia vipi hoja hii imepokelewa kisiwani humo. Na hii hapa ripoti yake.