Kombe la Dunia la Soka ya Wanawake 2011 | Michezo | DW | 24.06.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Michezo

Kombe la Dunia la Soka ya Wanawake 2011

Kombe la Dunia la Soka ya Wanawake linafanyika hapa Ujerumani, na tayari mshikemshike na homa ya kabumbu imeshaanza kupanda kwa timu mbalimbali zinazoshiriki mashindano haya ya aina yake ya kimataifa.

Nembo ya Kombe la Dunia la Soka ya Wanawake 2011

Nembo ya Kombe la Dunia la Soka ya Wanawake 2011

Fuatilia habari mbalimbali, matukio na uchambuzi wa kinyang'anyiro hicho kupitia hapa Deutsche Welle. Wanamichezo wako wa Idhaa ya Kiswahili watakuwa nawe kukupa taarifa za kila goli na kila pointi.

Viungo vya WWW

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com