1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kurunzi Wanawake

Jamii yoyote yenye mafanikio huwa ni matokeo ya moja kwa moja ya mchango wa wanawake kwa kiasi kikubwa. Sisi hapa DW Kiswahili tunatambua mchango huo.

Mchango wa wanawake katika maendeleo endelevu duniani ni dhahiri. Wanatamba katika ulingo wa siasa, biashara, teknolojia na katika sekta tofauti tofauti. Katika Makala ya Kurunzi Wanawake, tunaangazia juhudi mbalimbali na ushiriki wa wanawake katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo. Wanawake hawahitaji kuwezeshwa, bali wenyewe wanaweza.

Onesha makala zaidi