Michuano ya kombe la EURO 2020 yanafanyika katika nchi 11. Ni wazo maridhawa kabisa kuyaandaa mashindano haya katika nchi mbalimbali ingawa kwa mashabiki ni changamoto kupanga ratiba ya safari kwenda kutazama mechi.
Tunakuletea taarifa, uchambuzi na mahojiano kuhusu mashindano haya ya soka la Ulaya kuanzia mechi ya ufunguzi Juni 11 hadi fainali Julai 11. Usikose!