1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Italia na Uhispania kuvaana kwenye nusu fainali Euro 2020

Amina Mjahid
6 Julai 2021

Nusu fainali ya kwanza inazikutanisha timu za Italia na Uhispania, katika uwanja wa Wembley, Uingereza. Je kipi kitegemewe katika mchezo huu? Suidi Mnette amezungumza na Jacob Safari wa dawati la michezo la DW

https://p.dw.com/p/3w7E6