1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Catalonia

Likikutikana kaskazini-mashariki mwa rasi ya Iberia, jimbo hili tajiri zaidi la Uhispania lina lugha yake na utambulisho makhsusi.

Catalonia ni jamii inayojitawala. Barcelona ndiyo mji mkuu wake, na mji mkubwa kabisaa. Uungaji mkono wa uzalendo unaanzia kwenye miito ya uhuru zaidi hadi madai ya uhuru kutoka Uhispania. Jimbo hilo linazo lugha mbili - Kihispania na Kikatalan - na zote zinazungumzwa. Katika ofisi na shule, Kikatalan ndiyo hutumika zaidi, wakati kwenye mabango ya barabarani na nembo kwa mfano, katika makumbusho, mar nyingi hutumika lugha zote mbili. Karibu watu milioni 11 wanaishi katika eneo linalozungumza Kikatalan.

Onesha makala zaidi