1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Italia

Italia ambayo ni nyumbani kwa watu wapatao milioni 60 ndiyo yenye uchumi wa tatu kwa ukubwa katika kanda inayotumia sarafu ya Euro, na inapakana na Ufaransa, Uswisi, Austria, Slovenia, San Marino na Vatican City.