1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uhispania

Uhispania ni taifa la kifalme lililopo katika Rasi ya Iberia, kusini-magharibi mwa Ulaya. Ina maeneo kadhaa madogo katika, na karibu na pwani ya kaskazini mwa Afrika.

Uhispani ndiyo taifa la nne kwa ukubwa barani Ulaya na mwanachama wa Umoja wa Ulaya, lakini pia inaonyesha ushawishi mkubwa wa Kiarabu. Ni taifa linalofuata demokrasia ya mfumo wa bunge na ufalme wa kikatiba. Inapakana na bahari za Atlantiki na Mediterrania. Himaya ya kikoloni ya Uhispania katika karne ya 15 ilikifanya Kihispania kuwa lugha ya pili inayozungumzwa na watu wengi duniani.

Onesha makala zaidi