You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Picha: DW
Amina Abubakar
Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Amina Abubakar
Taarifa zilizoonesha na Amina Abubakar
Tarique Rahman aapishwa kuwa Waziri Mkuu Bangladesh
Rahman ameahidi kulibadilisha taifa kwa kurejesha utulivu, uwajibikaji wa serikali yake na kupambana na ufisadi.
Afrika Wiki Hii
Miongoni mwa yaliyotikisa Afrika ni pamoja na kauli ya Rais Paul Kagame ya kutaka Wanyaranwa kujitegemea zaidi.
Umoja wa Mataifa hatimaye kuongozwa na mwanamke?
Umoja wa Mataifa ulianzishwa baada ya Vita vya Pili vya Dunia ikiwa na wanachama 51 na sasa wamefikia 193.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Amina Abubakar
Taarifa na Amina Abubakar
18.04.2026 - Matangazo ya Jioni
18.04.2026 - Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa utakayosikia ni pamoja +++ Trump asema hatutakubali Iran ´itucheze shere´ +++ Hakuna tarahe iliyopangwa ya duru ya pili ya mazungumzo kati ya Iran na Marekani +++ Papa leo wa 14 awasili Angola kama sehemu ya ziara yake barani Afrika.
Trump: Hatutakubali Iran ´itucheze shere´
Trump: Hatutakubali Iran ´itucheze shere´
Kamandi Kuu ya Jeshi la Iran ilitangaza kurejesha vizuizi vyote kwenye Mlango Bahari wa Hormuz.
Iran: Hatujapanga tarehe ya mazungumzo mapya na Marekani
Iran: Hatujapanga tarehe ya mazungumzo mapya na Marekani
Ameyasema hayo pembezoni mwa mkutano wa kila mwaka wa kidiplomasia unaofanyika Antalya Uturuki.
IDF: Hezbollah imekiuka makubaliano ya usitishaji vita
IDF: Hezbollah imekiuka makubaliano ya usitishaji vita
Israel haijawa vitani na serikali ya Lebanon, bali na wanamgambo hao waliopo nchini humo.
Papa leo awasili Angola kama sehemu ya ziara yake Afrika
Papa leo awasili Angola kama sehemu ya ziara yake Afrika
Angola inakadiriwa kuwa na waumi milioni 15 wa kikatoliki aikiwa ni takriban asilimia 44 ya idiadi jumla ya watu nchini
Lufthansa: Safari za ndege zimeanza tena baada ya mgomo
Lufthansa: Safari za ndege zimeanza tena baada ya mgomo
Safari takriban 650 za ndege zilifutwa katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Frankfurt.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo