1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jumuiya mbalimbali za Afrika zakutana Nairobi kuijadili Zimbabwe

23 Aprili 2008

Zaidi ya mashirika na jumuiya 200 kutoka nchi za Afrika zimeamua kuitisha maandamano katika ofisi za mabalozi wa Jamhuri ya umma wa China kupinga ushirikiano kati ya China na utawala wa rais Robert Mugabe wa Zimbabwe.

https://p.dw.com/p/DnPA
Jiji la Nairobi,Kenya wanakokutana jumuiya za AfrikaPicha: DW /Maya Dreyer

Katika mkutano wao mjini Nairobi kuzungumzia hali ya Zimbabwe pia umetolewa wito kumtaka rais Thabo Mbeki ambaye amekua akikosolewa mno kwa msimamo wake,ajiondoe kama mpatanishi katika mzozo wa Zimbabwe.

Mwaandishi wetu mjini Nairobi Mwai Gikonyo anaripoti.