1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

ZANU-PF

Zimbabwe African National Union - Patriotic Front kimekuwa chama tawala nchini Zimbabwe tangu nchi hiyo ilipopata uhuru wake mwaka 1980.

Chama hicho kimeongozwa na Rais Robert Mugabe, kwanza kama waziri mkuu na Zimbabwe African National Union (ZANU), na baadae kama rais mwaka 1988, baada ya kuungana na Zimbabwe African People's Union (ZAPU) na kubakiza jina la ZANU-PF. ZANU ilianzishwa na Ndabaningi Sithole, Henry Hamadzripi, Mukudzei Midzi, Herbert Chitepo, Edger Tekere, na Leopord Takawira nyumbani kwa waziri wa zamani wa ulinzi Enos Nkala mjini Highfield Agosti mwaka 1963.

Onesha makala zaidi