Jeshi Nigeria lauwa wakimbizi kimakosa | Media Center | DW | 18.01.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Jeshi Nigeria lauwa wakimbizi kimakosa

Jeshi la anga Nigeria limewaua kimakosa watu wasiopungua 50 katika shambulio dhidi ya kambi ya wakimbizi kaskazini-mashariki. Rais wa Gambia Yahya Jammeh atangaza hali ya hatari, huku bunge likirefusha muhula wake kwa miezi mitatu kabla ya kuapishwa kwa rais mteule Adama Barrow. Na makundi hasimu ya Palestina yakubaliana kuunda serikali ya umoja kueleka uchaguzi ndani ya miezi sita.

Tazama vidio 01:58
Sasa moja kwa moja
dakika (0)