1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Gambia

Gambia ni mmoja ya mataifa madogo zaidi barani Afrika, na tofauti na majirani zake wa Afrika Magharibi, imekuwa tulivu kw amuda mrefu tangu ilipopata uhuru wake.

Rais Yahya Jammeh aliitawala nchi hiyo kw amkono wa chuma baada ya kutwaa madaraka kupitia mapinduzi yasiyokuwa ya umuagaji damu 1994. Utawala wake wa miaka 22 ulifikia tamati 2016 baada ya kushindwa na mgombea wa upinzani Adama Barrow. Jammeh aliondoka madarakani baada ya juhudi za upatanishi na kitisho cha kung'olewa kwa nguvu na vikosi vya jumuiya ya kiuchumi ya mataifa ya Afrika Magharibi ECOWAS.

Onesha makala zaidi