1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Afrika Wiki Hii

17 Mei 2024

Kenya na Uganda zafikia makubaliano ya kibishara na kuondowa tofauti zao kuhusu masuala mbali mbali, Rais wa Zanzibar akabidhiwa ripoti ya mkaguzi mkuu wa mahesabu ya serikali ya mwaka 2022/2023 na Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa Gambia Ousman Sonko ahukumiwa miaka 20 Jela kwa uhalifu dhidi ya Ubinadfamu na mahakama ya Uswisi. Jiunge na Saumu Mwasimba katika Afrika Wiki Hii.

https://p.dw.com/p/4g0ny