1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Muhammadu Buhari

Rais wa Nigeria, aliingia madarakani Mei 2005 baada ya kumshinda Goodluck Jonathan katika uchaguzi mkuu. Muhammadu Buhari alizaliwa Desemba 17, 1942 na ni mwanachama wa chama cha All Progressive Congress APC.

Buhari alihudumu katika jeshi la Nigeria kuanzia 1961 hadi 1985, na alihudumu rasmi katika nafasi ya mkuu wa nchi kati ya Desemba 1983 na Agosti 1985 baada ya kutwaa madaraka kupitia mapinduzi ya kijeshi. Tangu wakati huo amekuwa akieleza kuwa mwana demokrasia aliebadilika. Katika ukurasa huu utapata maudhui za karibuni za DW kumhusu Muhammadu Buhari.

Onesha makala zaidi