1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Ukingo wa Magharibi

Ukingo wa Magharibi ni eneo lisilo na njia ya bahari karibu na pwani ya Asia Magharibi ya Bahari ya Mediterrania, ambalo sehemu yake kubwa inakaliwa na Israel, au chini ya udhibiti wa pamoja kati ya Israel na Palestina.

Hadhi ya mwisho ya eneo hilo lote bado kuamuliwa na pande husika. Mipaka ya Ukingo wa Magharibi, unapakana na Israel (iliyochorwa na mkataba wa kumaliza vita kati ya Israel na Jorndan 1949),upande wa magharibi, kaskazini na kusini, na kwa upande wa mashariki na Jordan mkabala na mto Jordan.

Onesha makala zaidi