1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Wasichana wa Chibok

Chibok ni mji mdogo ulioko katika jimbo la Borno, kaskazini-mashariki mwa Nigeria. Mji huo ulipata umaarufu wa kimataifa baada ya kutekwa nyara wanafunzi wa kike zaidi ya 200 kutoka shule ilioko mjini humo.

Kundi la itikadi kali za Kiislamu Boko Haramu – ambalo tafsiri yake ni “Elimu ya Magahribi ni haramu” liliwateka wanafunzi 276 kutoka shule ya serikali mjini Chibok. Dazen kadhaa walifanikiwa kutoroka lakini wengine 219 walikuwa bado hawajulikani walipo na juhudi za kuwatafuta bado zinaendelea. Ukurasa huu ni mkusanyo wa maudhui za DW kuhusu wasichana Chibok.

Onesha makala zaidi