1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Intifada

Intifada ni neno la Kiarabu ambalo kimsingi linamaanisha "kuondokana na". Linamaanisha uasi dhidi ya ukandamizaji

neno Intifada limetumika makhsusi kuhusiana na uasi wa Wapalestina dhidi ya Israel katika muktadha wa mgogoro wa Israel na Wapalestina. itifada ya kwanza inamaanisha uasi wa Wapalestina dhidi ya ukaliaji wa kimabavu wa Israel katika Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa Gaza kuanzia 1987 - 1993. Intifada ya pili ilikuwa ya vurugu zaidi na ilitokea kuanzia 2000 - 2005.

Onesha makala zaidi