Je, kuna vigezo vya kuchaguwa mwenza wa ndoa? | Masuala ya Jamii | DW | 05.10.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Je, kuna vigezo vya kuchaguwa mwenza wa ndoa?

Kuna wengi ambao wanaamini kuwa kinachomfanya mtu kumchaguwa mwenzake kuwa mwenza wa maisha, mume au mke, ni kutokana na vigezo maalum alivyojiwekea. Lakini je, ni kweli kuna vigezo vya kabla au vigezo huja baadaye?

Maharusi wakiingia kanisani.

Maharusi wakiingia kanisani.

Hawra Shamte anazungumza na vijana juu ya kile wanachoamini kuwa kinawasukuma kufanya maamuzi ya kuoa au kuolewa na mtu fulani.

Mtayarishaji/Msimulizi: Hawra Shamte
Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com