Iran na Urusi zasema IS wamefika mwisho | Media Center | DW | 21.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Iran na Urusi zasema IS wamefika mwisho

Iran na Urusi zatangaza mwisho wa kundi lijiitalo Dola la Kiislamu (IS) nchini Syria, Marekani yasema Korea Kaskazini ni taifa linalofadhili ugaidi duniani na wabunge wa Zimbabwe wajipanga kumuondoa Rais Robert Mugabe. Papo kwa Papo, 21 Novemba 2017.

Tazama vidio 02:12
Sasa moja kwa moja
dakika (0)