1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Aung San Suu Kyi

Aung San Suu Kyi ni kiongozi mkubwa wa upinzani nchini Myanmar ambaye alikiongoza chama chake National League for Democracy (NLD) kwenye ushindi wa 2015.

Suu Kyi aliwahi kuwekwa kwenye kifungo cha nyumbani kwa miaka mingi na utawala wa kijeshi wa nchi hiyo. Alitunukiwa Nishani ya Amani ya Nobel kwa mchango wake kwenye mapambano ya demokrasia.

Onesha makala zaidi