Haki za Watoto – Kipindi 04 – Watoto wa Mitaani22.03.201122 Machi 2011Akiwa na umri wa miaka 13, Princess Joel alitaka kuukimbia umaskini wa maisha ya kijijini na akahamia Lagos. Huko alijifunza kupitia njia ngumu kwamba kuwa masikini mjini si rahisi kwa vyovyote vile – ni kinyume kabisa!https://p.dw.com/p/QquOMatangazo