Haki za binadamu China. | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 26.02.2009
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

Haki za binadamu China.

China yapinga ripoti ya Marekani inayoilaumu vikali nchi hiyo kwa kukiuka haki za binadamu.

default

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton akisalimiana na rais Hu Jintao wa China. Wizara yake imeilaumu China kwa kukiuka haki za binadamu.

WASHINGTON.

Marekani imeilaumu China, vikali kwa kukiuka haki za binadamu , wiki moja baada ya waziri wa mambo ya nje Hillary Clinton kufanya ziara nchini China ambapo hakusema kitu juu ya suala hilo

Katika ripoti yake ya kila mwaka juu ya haki za binadamu duniani, wizara ya mambo ya nje ya Marekani pia imeilaumu Urusi ambako imesema haki za raia zinabanwa.

Lakini China imesema kuwa ripoti hiyo haina msingi.

Ripoti hiyo pia inatilia maanani mfumuko wa sheria zinazoyabana makundi yasiyo ya kiserikali katika sehemu mbalimbali za dunia. • Tarehe 26.02.2009
 • Mwandishi Abdu Said Mtullya
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/H1OM
 • Tarehe 26.02.2009
 • Mwandishi Abdu Said Mtullya
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/H1OM
Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com