GLASGOW: Sevilla tena yashinda kombe la UEFA | Habari za Ulimwengu | DW | 17.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

GLASGOW: Sevilla tena yashinda kombe la UEFA

Barani Ulaya klabu ya Sevilla imeshinda kombe la kandanda la UEFA kwa mara ya pili kwa mfululizo baada ya kuifunga Espanyol katika fainali ya kupiga mabao baada ya mahasimu hao kwenda sare mabao 2-2 mjini Glasgow.Katika penalti kipa wa Sevilla alizuia mikwaju mitatu na amekuwa mbabe wa klabu yake.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com