Gazeti la Marekani lamsifu Putin
20 Desemba 2007Matangazo
WASHINGTON.Gazeti la Time la Marekani, limemtaja Rais wa Urusi Vladmir Putin kama , ni mtu mashuhuri wa mwaka.
Gazeti hilo limesema kuwa uamuzi huo umetokana na hatua za Putin zilizoibadilisha Urusi kuwa nchi muhimu katika karne ya 21.
Limesema kuwa Putin amekuwa imara na kuiimarisha nchi hiyo hali ambayo huko nyuma haikuwahi kuwa nayo.