DAR ES SALAAM: Mradi wa kupunguza bei za dawa za malaria | Habari za Ulimwengu | DW | 22.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

DAR ES SALAAM: Mradi wa kupunguza bei za dawa za malaria

Rais wa zamani wa Marekani,Bill Clinton anazindua mradi wa kusaidia kulipia dawa za malaria nchini Tanzania.Mradi huo unafanyiwa jeribio ikitarajiwa kuwa utaweza kuwa mfano mzuri kwa bara zima la Afrika.Kuambatana na mradi huo,dawa za malaria za ACT zinatazamiwa kuwa rahisi kwa asiliamia 90 kulinganishwa na bei ya hivi sasa.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com